Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Maji ziwa Victoria yakijaa, Uganda yachukua hatua kuepuka mafuriko

Maji ziwa Victoria yakijaa, Uganda yachukua hatua kuepuka mafuriko

Pakua

Wanamazingira wanahusisha kiwango cha athari za mafuriko mitoni, ziwani na kwenye maeneo mengi oevu na kutotumia mazingira kwa njia endelevu, la sivyo madhara yasingehusisha binadamu moja kawa moja hasa makaazi.

Lakini sasa ni dhahiri kwamba kila kunakotokea mafuriko, kuna vifo au kupoteza mali nyingi na kutumbukiwa watu katika umaskini na hata kukosa makaazi na chakula huku yakididimiza ndoto za kufikia malengo mengi ya maendeleo endelevu au SDGs.

Kwa mantiki hiyo tunaungana na John Kibego ambaye amevinjari kubaini mtazamo wa Rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni na pia kuona athari za mafuriko nchini Uganda.

Audio Credit
Loise Wairimu/John Kibego
Audio Duration
3'44"
Photo Credit
Arne Hoel/World Bank