Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

06 Mei 2020

06 Mei 2020

Pakua

Leo katika Jarida la Umoja wa Mataifa  tunaangazia habari tofauti kutoka sehemu mbalimbali duniani:

-Tutasikia kutoka kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres kuhusu uzinduzi wa sere za  watu wenye ulemavu na janga la corona au COVID-19.

-Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF linashirikiana na jamii ili kusaidia kuepusha kusambaa kwa ugonjwa wa virusi vya Corona au COVID-19 hususan kwenye maeneo ya makazi duni huko Kenya.

-Umoja wa Mataifa umesema kuna haja ya haraka ya huduma ya kuwalinda watoto ili kupunguza hatari ya ukatli wa kingono na unyanyasaji wakati huu wa janga la COVID-19.

-Kwenye Makala leo tutakwenda nchini Kenya, kumsikiliza Mbunge ambaye siku za hivi karibuni ameamua kuanza kufundisha masomo ya sayansi kupitia katika mitandao yake ya kijamii 

-Na kwenye mashinani leo tuko nchini  Vanuatu kuona jinsi watoto wanazingatia usafi wa mikono, ilikuepuka maambukizi ya virusi vya Corona.

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
11'18"