Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

04 Mei 2020

04 Mei 2020

Pakua

 Leo katika Jarida la Umoja wa Mataifa tutaskia :

-Mwendazake Balozi Augustine Mahiga  na mchango wake katika Umoja wa Mataifa.

-Kwa watu waliofanyakazi kwa karibu na Balozi Mahiga wakati wa uhai wake wanasema alikuwa mfano wa mfano wa kuigwa na wanajivunia sana kumfahamu .

-Walinda amani wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini, UNMISS kukarabati barabara za kuunganisha maeneo ya Bunj.

-Na leo kwenye makala tunaelekea Tanzania kusikia kutoka kwa mratibu wa chama za wakunga  ikiwa kesho dunia ikiadhimisha siku ya wakunga duniani,.

- Na mashinani tuamsikia mtoto mwenye umri wa miaka 12 anaomba dunia itokomeze virusi vya  Corona!

 

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
13'17"