Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

01 MEI 2020

01 MEI 2020

Pakua

Leo katika Jarida la Umoja wa Mataifa ikiwa siku ya wafanyakazi tunaangazia habari tofauti.

-Leo ikiwa  ni sikukuu ya wafanyakazi,tutaskia ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

-Siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani tarehe 3 mwezi huu wa Mei, na umuhimu wa vyombo vya habari na wanahabari
-Tutakupasha jinsi Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi huko Sudan Kusini  linakimbizana na muda kuzuia kusambaa kwa virusi vya Corona

Kwenye Mada kwa Kina leo tunaangazia  jinsi wanahabari wanavyofanya shughuli zao  katika wakati huu dunia inapopambana na COVID-19.

-Na  katika kujifunza kiswahili leo tunamulika masna ya neno Unyarubanja na mchambuzi ni Onni Sigalla kutoka BAKITA Tanzania

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
11'52"