30 APRILI 2020

30 APRILI 2020

Pakua

Hii leo katika Jarida la Habari kutoka Umoja wa Mataifa Flora Nducha anakuletea

-Miezi mitatu baada ya WHO kutangaza COVID-19 kuwa janga la kimataifa Shirika hilo linasema halitokata tamaa katika juhudi za kutokomeza janga hilo.

-Kambi ya wakimbizi nchini Kenya wahudumu wa afya wanafanya kila wawezalo kuwalinda wakimbizi dhidi ya COVID-19.

-Nchini DRC kutana na mtoto Cornell anayeelimisha jamii kujikinga na janga la COVID-19 huku akiwasaidia wazazi wake.

-Makala yetu leo inatupeleka Uganda kumulika uhakika wa chakula wakati huu wa janga la COVID-19 .

-Mashinani leo tutamskia binti wa miaka kumi na saba aliyerubuniwa kuingia katika mapenzi kwa muda wa mwaka mzima.

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Sauti
11'18"