Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Baada ya mimba ya utotoni , nina matumaini ya Maisha:Msichana Lydia

Baada ya mimba ya utotoni , nina matumaini ya Maisha:Msichana Lydia

Pakua

Mimba za utotoni ni changamoto kubwa na tishio kwa mustakbali wa wasichana wengi ambao hulazimika kuacha shule na kuwa mama katika umri mdogo na wengine hata kujikuta katika ndoa za utotoni.Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa vyote viwili mimba na ndoa za utotoni vinaweka hatarini Maisha ya wasichana hao na hasa pale wanapojaribu kutoa mimba kwa njia zisizo salama kwa kuhofia wazazi , majukumu na pia kuchekwa katika jamii.

Igawa madhila hua ni mengi kama anavyosimulia msichana Lydia Atuhura mmoja wa wasichana waliopata mimba za utotoni katika mahojiano yake na John Kibego, hua kuna matumaini. Ungana nao katika sehemu ya kwanza ya makala hii.

Audio Credit
UN News John Kibego
Sauti
3'21"
Photo Credit
UNFPA/Ollivier Girard