Neno la wiki- Nongwa

10 Aprili 2020

Na sasa ni mashinani ambapo Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili, ZANZIBAR, Dkt.MWanahija Ali Juma anafafanua maana ya neno NONGWA.

Audio Credit:
Mwanahija Ali Juma
Audio Duration:
1'1"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud