Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kenya na mikakati ya kukabiliana na COVID-19 wakati idadi ya wagonjwa ikiongezeka

Kenya na mikakati ya kukabiliana na COVID-19 wakati idadi ya wagonjwa ikiongezeka

Pakua

Katika makala ya wiki hii  tunakwenda Nairobi nchini Kenya, mwandishi wetu Jason Nyakundi anamulika harakati za kukabiliana na virusi vya Corona au COVID-19 na changamoto zitokanazo na hatua za kudhibiti kusambaa kwa virusi hivyo

Audio Credit
Jason Nyakundi
Audio Duration
5'48"
Photo Credit
© Julius Mwelu/ UN-Habitat