Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Fahamu kuhusu usonji, dalili, visababishi na je una tiba?

Fahamu kuhusu usonji, dalili, visababishi na je una tiba?

Pakua

leo kwenye mada kwa kina tutamsikiliza mtaalamu wa afya upande wa tatizo la usonji akitueleza kinagaubaga kuhusu tatizo hilo.Godfrey Kimathi ni mtaalamu mbobevu wa maswala ya usonji,  pia ni rais wa wataalam wa usonji nchini Tanzania anaanza kwa kueleza usonji ni nini na dalili zake ni zipi?

Audio Credit
Assumpta Massoi/Godffrey Kimathi
Audio Duration
5'13"
Photo Credit
UNICEF