Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ni bora kuzingatia ushauri wa kitabibu katika vita dhidi ya COVID-19: wananchi

Ni bora kuzingatia ushauri wa kitabibu katika vita dhidi ya COVID-19: wananchi

Pakua

Wakati huu ambapo dunia inapambana na janga la viruso vya Corona, COVID-19 taarifa za jinsi ya kukabiliana na ugonjwa huo nazo zinatoka kila kona lakini ushauri wa shirika la afya duniani WHO ni kuzingatia ushauri wa kitabibu unaotolewa na vyombo husika likiwemo shirika la WHO, wizara za afya na wataalam wa afya. Na hilo linaungwa mkono na baadhi ya wanachi kutoka wilaya ya Pangani mkoni Tanga  nchini Tanzania ambao wamezunguza na Saa Zumo wa Redio washirika Pangani FM katika sehemu hii ya pili ya Makala inayosikiliza maoni ya wananchi kuhusu ugonjwa wa COVID-19 au virusi vya corona, ungana nao.

Audio Credit
UN News/ Saa Zumo (Radio washirika)
Audio Duration
3'38"
Photo Credit
UN Photo/Loey Felipe