Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kijana si lazima aajiriwe kupitia mafunzo anaweza kujiajiri:Nyoni TYC

Kijana si lazima aajiriwe kupitia mafunzo anaweza kujiajiri:Nyoni TYC

Pakua

Changamoto kubwa inayowakabili vijana kote duniani ni ajira hata kama wana elimu ya kutosha kuajiriwa. Kwa kutambua changamoto hiyo taasisi ya vijana nchini Tanzania (TYC) imechukua hatua ya kuhakikisha vijana wanaelemishwa uwezo walio nao katika ujasiriamali na kuweza kusaidia kuziba pengo la ajira hasa katika utimizaji wa lengo namba 8 la maendeleo endelevu au SDGs linalozungumzia ajira zenye staha. Ili kufahamu zaidi kinachofanywa na taasisi hiyo katika kuwajengea vijana uwezo, Stella Vuzo wa kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa UNIC jijini Dar es salaam amezungumza na kaimu mkurugenzi mtendaji wa taasisi hiyo Erick Crispin Nyoni baada ya mafunzo ya ujasiriamali yaliyoendeshwa kwa vijana hivi karibuni

Audio Credit
Grace Kaneiya/ Stella Vuzo/ Crispin Nyoni
Audio Duration
4'10"
Photo Credit
World Bank/Arne Hoel