Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ripoti yaonesha elimu kwa wasichana haina maana iwapo jamii ina mtazamo hasi dhidi yao

Ripoti yaonesha elimu kwa wasichana haina maana iwapo jamii ina mtazamo hasi dhidi yao

Pakua

Miongo miwili na nusu tangu mkutano wa kihistoria wa wanawake mjini Beijing, China bado ghasia dhidi ya wanawake na wasichana zimeshamiri na cha ajabu zinakubalika.

Audio Credit
Assumpta Massoi
Sauti
1'59"
Photo Credit
UN Photo/Eskinder Debebe)