Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WFP na FAO zasema mlo shuleni ni kichocheo cha maendeleo na ukuaji uchumi Afrika

WFP na FAO zasema mlo shuleni ni kichocheo cha maendeleo na ukuaji uchumi Afrika

Pakua

Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP limeungana na Muungano wa Afrika AU, na nchi kote barani Afrika kuadhimisha siku ya mlo shuleni likisisitiza kwamba uwekezaji katika nguvu kazi kupitia mipango ya afya na lishe bora mashuleni kunaweza kuleta faida kubwa zaidi ya kupata elimu. 

Audio Credit
Flora Nducha
Audio Duration
1'45"
Photo Credit
UNHCR/Gaelle Massack