Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WHO yasema DRC imepiga hatua kubwa katika kudhibiti Ebola

WHO yasema DRC imepiga hatua kubwa katika kudhibiti Ebola

Pakua

Shirika la afya ulimwenguni WHO limesema kuna hatua kubwa imepigwa katika kudhibiti mlipuko wa ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, huku visa vikipungua kutoka 120 kwa wiki mwezi mwaka jana hadi visa vidatu au sufuri kwa wiki nne zilizopita.

Audio Credit
Amina Hassan
Sauti
2'
Photo Credit
UNICEF/Adriko