Skip to main content

WHO yasema DRC imepiga hatua kubwa katika kudhibiti Ebola

WHO yasema DRC imepiga hatua kubwa katika kudhibiti Ebola

Pakua

Shirika la afya ulimwenguni WHO limesema kuna hatua kubwa imepigwa katika kudhibiti mlipuko wa ebola nchini Jamhuri ya Kimekrasia ya Congo DRC, huku visa vikipungua kutoka 120 kwa wiki mwezi mwaka jana hadi visa vidatu au sufuri kwa wiki nne zilizopita.

Audio Credit
Amina Hassan
Audio Duration
2'
Photo Credit
UNICEF/Adriko