Hatua zinapigwa huku Afrika magharibi ikiongoza katika kukabiliana na ukosefu wa utaifa-UNHCR

Hatua zinapigwa huku Afrika magharibi ikiongoza katika kukabiliana na ukosefu wa utaifa-UNHCR

Pakua

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limepongeza nchi wanacaham wa jumuiya ya Afrika Magharibi ECOWAS kwa mafanikio ya kutaka kumaliza tatizo la kutokuwa na utaifa lakini pia likasihi juhudi kuongezwa maradufu ili kuhakikisha kila mtu katika ukanda huo anakuwa na utaifa na anafaidika na haki za uraia.

Audio Credit
Grace Kaneiya/Arnold Kayanda
Audio Duration
1'57"
Photo Credit
UNICEF/Frank Dejongh