Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Maelfu ya watu Maisha yao yanaendelea kuwa hatarini Syria imesema WHO/OCHA/UNHCR

Maelfu ya watu Maisha yao yanaendelea kuwa hatarini Syria imesema WHO/OCHA/UNHCR

Pakua

Umoja wa Mataifa unaendelea kufuatilia kwa karibu hali inayotia hofu kubwa Kaskazini Magharibi mwa Syria kufuatia taarifa kwamba askari kadhaa wa Uturuki wameuawa kwenye shambulio la anga. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amerejelea wito wake wa kusitisha uhasama mara moja na kuokoa Maisha ya raia walio hatarini kufiuatia machafuko yanayoendelea na mashambulizi.

Audio Duration
2'22"
Photo Credit
UNOCHA