28 Februari 2020
Pakua
Hakuna mgonjwa mpya wa Ebola huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC katika siku 7 zilizopita, ni moja ya habari muhimu hii leo kwenye muhtsasari wa habari na kisha ni mada kwa kina leo tukijikita huko wilayani Bukoba mkoa wa Kagera nchini Tanzania, mwandishi wa Radio washirika ya Kasibante FM Nicolaus Ngaiza anazungumza na mkunga wa jadi. Neno la Wiki leo ni gidamu, wafahamu maana yake? Tumekwenda BAKIZA huko Zanzibar! Basi ungana na mwenyeji wako hii leo jaridani, Flora Nducha.
Audio Credit
Flora Nducha
Audio Duration
9'41"