Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wakimbizi wa ndani nchini Burkina Faso wapata uhifadhi kufuatia ukarimu wa 'chifu'-UNCHR

Wakimbizi wa ndani nchini Burkina Faso wapata uhifadhi kufuatia ukarimu wa 'chifu'-UNCHR

Pakua

Wakati janga la kibinadamu likishuhudiwa nchini Burkina Faso, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR limesema ongezeko katika mashambulizi linasababisha raia kukimbia kuelekea maeneo ya kusini karibu na Mali na Niger.

Audio Credit
Flora Nducha/ Grace Kaneiya
Audio Duration
2'22"
Photo Credit
WFP/Simon Pierre Diouf