Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tunazo suluhisho za kuendeana na vitiso dhidi ya haki za binadamu-Bachelet

Tunazo suluhisho za kuendeana na vitiso dhidi ya haki za binadamu-Bachelet

Pakua

Kamishna Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa, Michelle Bachelet hii leo akihutubia mkutano wa 43 wa Baraza la Haki za binadamu mjini Geneva Uswisi amesema vitisho dhidi ya haki za binadamu, maendeleo na amani vinaweza kuwa vinaongezeka lakini pia utatuzi kwa vitendo unaozingatia kaanuni nzuri za haki nao unaongezeka.

Audio Credit
Flora nducha/ Arnold Kayanda
Audio Duration
2'16"
Photo Credit
UN Photo - Jean-Marc Ferre