Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno la Wiki- Atekaye maji mtoni hatukani mamba

Neno la Wiki- Atekaye maji mtoni hatukani mamba

Pakua

Na leo katika Neno la wiki  mchambuzi wetu Josephat Gitonga, mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi katika kituo cha tafsiri na ukalimani anafafanua maana ya methali Atekaye maji mtoni hatukani mamba

 

Audio Credit
Josephat Gitonga
Audio Duration
51"
Photo Credit
UN News Kiswahili