Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNFPA imesaidia sana kuboresha huduma za afya ya uzazi visiwani Zanzibar- Azzah Amin Nofli

UNFPA imesaidia sana kuboresha huduma za afya ya uzazi visiwani Zanzibar- Azzah Amin Nofli

Pakua

Kupitia mfululizo wa makala za Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa ambazo zinaangazia wakunga na wauguzi katika mwaka huu wa 2020 ambao umetambuliwa na Umoja wa Mataifa kama mwaka wa kuwaenzi wauguzi na wakunga, Azzah Amin Nofli Afisa programu wa afya ya uzazi, Ofisi ndogo wa shirika la Umoja wa Mataifa la kushughulikia idadi ya watu, ofisi ndogo ya Zanzibar.

Kupitia makala hii anamweleza Stella Vuzo wa Kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa, Dar es Salaam nchini Tanzania kwamba ni katika kipindi cha hivi karibuni ambapo UNFPA imefanya mabadiliko makubwa zaidi ya kutekeleza mikakati ya kuhakikisha huduma zinapatikana mijini na vijijini. Bi Azzah anaanza kwa kueleza uwepo wa wauguzi wanaume visiwani humo.

 
 
 
 
 
 
 
 
Audio Credit
UN News/Stella Vuzo
Sauti
3'55"
Photo Credit
UNICEF/UN0159224/Naftalin