Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

IOM yasema wahamiaji 11,500 husafiri kila mwezi kutoa Pembe ya Afrika kwenda Yemen

IOM yasema wahamiaji 11,500 husafiri kila mwezi kutoa Pembe ya Afrika kwenda Yemen

Pakua

Kwa wastani, watu 11,500 walipanda meli kila mwezi kutoka Pembe la Afrika kwenda Yemen mnamo mwaka 2019, na kuifanya njia ya uhamiaji kupitia baharini kuwa iliyokuwa na pilika nyingi zaidi duniani kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na shirika la Umoja wa Mataifa la uhamiaji IOM.

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
2'31"
Photo Credit
© UNHCR/Markel Redondo