Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

13 FEBRUARI 2020

13 FEBRUARI 2020

Pakua

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Arnold Kayanda anakuletea

-Umoja wa Mataifa umesema Redio inasalia kuwa chombo muhimu cha kuunganisha jamii na kuchangia katika kusongesha mbele ajenda ya maendeleo endelevu SDG's

-Katika kuadhimisha siku ya Radio Duniani ambayo kila mwaka hufanyika Februari 13, shirika la Umoja wa Mataifa la elimu sayansi na utamaduni UNESCO limesema Redio ndio chombo cha mawasiliano cha kesho lazima ienziwe

-Redio za kijamii zinamchango mkubwa katika watu zinaowatangazia , leo tuko Karagwe kwa mmoja wa wanufaika wa mchango wa Redio hizo katika makala yetu ya leo

-Pia utasikia maoni kutoka kwa watu mbalimbali Afrika ya Mashariki wakizungumzia umuhimu wa Radio katika maisha yao

-Na tumerambaza pia mtandaaoni kuchukua maoni yako kuhusu siku ya Redio Duniani.

Audio Credit
UN News/Anold Kayanda
Audio Duration
10'45"