Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Miji bora inaenda sanyari na usafiri salama:UN-HABITAT

Miji bora inaenda sanyari na usafiri salama:UN-HABITAT

Pakua

Shirika la Umoja wa Mataifa la makazi UN-HABITAT limesema ubora wa miji ni pamoja na kuhakikisha usafiri kwa wakazi wa miji hiyo ni salama na endelevu lakini pia unaozingatia mazingira na kuwapunguzia adha watu wake.

Audio Credit
UN News/Brenda Mbaitsa
Audio Duration
1'57"
Photo Credit
Yimin Feng