Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNHCR yasema hali inazidi kuwa mbaya kwa waliotawanywa na machafuko DRC

UNHCR yasema hali inazidi kuwa mbaya kwa waliotawanywa na machafuko DRC

Pakua

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limesema linatiwa wasiwasi mkubwa na kuendelea kuzorota kwa hali ya kibinadamu nchini Jamhuroi ya Kidemokrasia ya Congo DRC hasa eneo la Mashariki kwenye jimbo la Beni.

Audio Credit
UN News/Grace Kaneiya
Audio Duration
2'16"
Photo Credit
© UNHCR/Pumla Rulashe