Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNHCR yasema raia 49 wauawa ndani ya siku 5 Syria hili linatupa hofu kubwa

UNHCR yasema raia 49 wauawa ndani ya siku 5 Syria hili linatupa hofu kubwa

Pakua

Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa leo imesema inatiwa wasiwasi mkubwa na ongezeko la kasi la machafuko Kaskazini Magharibi mwa Syria na kudharauliwa kwa ulinzi wa raia.

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
2'25"
Photo Credit
UNHCR/Andrew McConnell