Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Vurugu mpya zimewalazimisha maelfu kuyahama makazi yao kaskazini mwa Msumbiji

Vurugu mpya zimewalazimisha maelfu kuyahama makazi yao kaskazini mwa Msumbiji

Pakua

Vurugu mpya zinazotokea katika jimbo la Cabo Delgado, kaskazini mwa Msumbiji zimewalazimisha maelfu ya watu kuyakimbia makazi yao, taarifa iliyotolewa hii leo na msemaji wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, mjini Geneva Uswisi, imeeleza. 

Audio Credit
UN News/Joshua Mmali
Audio Duration
2'22"
Photo Credit
UN Mozambique