Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tangu nimeacha ungariba nimeshawaokoa wato takribani 150-Aliyeacha ungariba

Tangu nimeacha ungariba nimeshawaokoa wato takribani 150-Aliyeacha ungariba

Pakua

Tukisalia katika suala hilo la maadhimisho ya siku ya kutokomeza ukeketaji hii leo shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia idadi ya watu UNFPA limefanya kongamano ambalo limewakutanisha jijini Dar es Salaam wadau mbalimbali ili kujadili namna bora ya kutokomeza vitendo vya ukeketaji.

Audio Credit
Anold Kayanda
Audio Duration
1'41"
Photo Credit
UNICEF/Catherine Ntabadde