Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Somalia inahitaji msaada wa kibinadamu wakati watu milioni 4.1 wakikabiliwa na kutokuwa na uhakika wa chakula

Somalia inahitaji msaada wa kibinadamu wakati watu milioni 4.1 wakikabiliwa na kutokuwa na uhakika wa chakula

Pakua

Umoja wa Mataifa na mamlaka nchini Somali wametoa ombi la dharura kwa ajili ya msaada wa kibinadamu kukabiliana na hali ya kutokuwa na uhakika wa chakula unaokabili mamilioni ya watu nchini humo.

Audio Credit
UN News/John Kibego
Audio Duration
1'59"
Photo Credit
Photo: UNICEF/Sebastian Rich