Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

OCHA yasema zaidi ya watu 520,000 wamefurushwa makwao Syria kwa miezi miwili iliyopita

OCHA yasema zaidi ya watu 520,000 wamefurushwa makwao Syria kwa miezi miwili iliyopita

Pakua

Umoja wa Mataifa na washirika wake wa masuala ya kibinadamu wanaongeza juhudi za kukabiliana na mahitaji ya maelfu ya watu waliojikuta katikati ya machafuko Kaskazini Magharibi mwa Syria

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
2'7"
Photo Credit
UNICEF/ Aaref Watad