Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Hali inatisha Syria, vituo vya afya 50 vyalazimika kusitisha shughuli zake.

Hali inatisha Syria, vituo vya afya 50 vyalazimika kusitisha shughuli zake.

Pakua

WHO imeeleza wasiwasi wake kuhusu vitisho vinavyowakabili mamia ya maelfu wa Syria ambao wamelazishwa kukimbia kutokana na uhasama ulioongezeka kaskazini magharibi mwa Syria na pia mashambulizi katika huduma za afya

Audio Credit
UN News/Grace Kaneiya
Audio Duration
1'36"
Photo Credit
© UNICEF