Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Serikali husika zinashirikiana na FAO kukabiliana na mlipuko wa nzige wa jangwani pembe ya Afrika

Serikali husika zinashirikiana na FAO kukabiliana na mlipuko wa nzige wa jangwani pembe ya Afrika

Pakua

Mlipuko wa nzige wa jangwani unaendelea kuwa mbaya na ni tishio kubwa kwa uhakika wa chakula na mbinu za kujipata kipato katika Pembe ya Afrika. 

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Sauti
3'7"
Photo Credit
Photo: FAO/Carl de Souza