Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WHO yasema Kenya inahakikisha kuna mikakati endapo Virusi vya Corona vitazuka

WHO yasema Kenya inahakikisha kuna mikakati endapo Virusi vya Corona vitazuka

Pakua

Shirika la afya ulimwenguni WHO limeendelea kuzitaka nchi zote kuchukua tahadhari na kujiandaa dhidi ya virusi vya corona ambavyo tayari vimetangazwa kuwa dharura ya afya ya kimataifa vitazuka katika nchi zao.

Audio Credit
UN News
Audio Duration
5'41"
Photo Credit
National Institute of Allergy and Infectious Diseases, NIH, US