Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Vijana watembelewa na mwakilishi wao wa UN Sudan Kusini katika kambi ya ulinzi wa raia

Vijana watembelewa na mwakilishi wao wa UN Sudan Kusini katika kambi ya ulinzi wa raia

Pakua

Mwakilishi maalum wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya vijana Jayathma Wickramanayake amewatembelea vijana wakimbizi wa ndani Sudan Kusini wanaoishi katika kambi ya ulinzi wa raia ya Umoja wa Mataifa karibu na mji mkuu Juba na kusikiliza kilio chao. 

Audio Credit
UN News/Brenda Mbaitsa
Sauti
3'1"
Photo Credit
UNMISS\Nektarios Markogiannis