Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNICEF yasema Sahel watoto milioni 5 watahitaji msaada mwaka huu

UNICEF yasema Sahel watoto milioni 5 watahitaji msaada mwaka huu

Pakua

Karibu watoto milioni 5 watahitaji msaada wa kibinadamu mwaka huu Sahel ya Kati kutokana na machafuko yanayoendelea limeonya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF likisema idadoi hiyo ni ongezeko kubwa kutoka milioni 4.3.

Audio Credit
UN News/Brenda Mbaitsa
Audio Duration
2'27"
Photo Credit
OCHA