Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNESCO yasema miji yenye mfumo bora wa elimu, ni mfano wa kuigwa

UNESCO yasema miji yenye mfumo bora wa elimu, ni mfano wa kuigwa

Pakua

Mtandao wa miji iliyotambuliwa na UNESCO kuwa miji yenye mfumo bora wa elimu, GNLC ni mifano michache ya kufanya ujifunzaji kuwa sehemu ya msingi ya jamii ambazo haziachi nyuma mtu yeyote.  Mtandao huo unaunga mkono harakati za kusongesha malengo yote ya maendeleo endelevu hususani lengo na 4 linalosisitiza elibu bora kwa wote  na la 11 la miji bora endelevu. Miongoni mwa miji hiyo ni Gdynia ulioko nchini Poland.

Audio Credit
UN News
Audio Duration
2'33"
Photo Credit
World Bank/Yang Aijun