Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UN yasema lazima kuwe na uwajibikaji wa vifo vya mashambulizi ya anga Libya

UN yasema lazima kuwe na uwajibikaji wa vifo vya mashambulizi ya anga Libya

Pakua

Umoja wa Mataifa umerea wito wake wa kuhakikisha kwamba  uchunguzi huru na wa kina unafanyika Libya dhidi ya mashambulizi ya Julai 2019 yaliyokatili maisha ya takribani wakimbizi na wahamiaji 53, na wahusika lazima wawajibishwe

Audio Credit
UN News/Anold Kayanda
Audio Duration
3'37"
Photo Credit
IOM/Moad Laswed