Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Antonio Guterres asema tunapowakumbuka waathirika wa Holocaust tuhakikishe uhalifu huo haturejei

Antonio Guterres asema tunapowakumbuka waathirika wa Holocaust tuhakikishe uhalifu huo haturejei

Pakua

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameikumbusha dunia kwamba mauaji ya maangamizi makuu au Holocaust ni uhalifu mbaya zaidi kuwahi kutokea duniani na tunapowakumbuka waathirika ni jukumu la dunia kuhakikisha kwamba uhalifu huu asilani haurejei tena

Audio Credit
UN News/Grace Kaneiya
Audio Duration
2'14"
Photo Credit
Unsplash/Albert Laurence