Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNSOM yasema dola bilioni 1 zahitajika kusaidia watu milioni 3 mwaka 2020 Somalia

UNSOM yasema dola bilioni 1 zahitajika kusaidia watu milioni 3 mwaka 2020 Somalia

Pakua

Serikali ya shirikisho ya Somalia na washirika wa kimataifa wamezindua mpango unaohitaji zaidi ya dola bilioni moja ili kuweza kutoa msaada wa kibidamu unaohitajika nchini humo. Flora Nducha na taarifa zaidi

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
2'45"
Photo Credit
OCHA/Cecilia Attefors