Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

20 JANUARI 2020

20 JANUARI 2020

Pakua

Kigori 1 kati ya 3 kutoka familia maskini hawajawai kwenda shule limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF. Mangariba watupa visu vya ukeketaji huko Sierra Leone.  Uvutaji tumbaku unaongeza hatari ya madhila baada ya upasuaji limeonya shirika la afya duniani WHO

Audio Duration
10'53"