Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Michelle Bachelet alaani mauaji na ufurushwaji wa raia Idlib, Syria

Michelle Bachelet alaani mauaji na ufurushwaji wa raia Idlib, Syria

Pakua

Kamishna Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa Michelle Bachelet amelaaani vikali kuendelea kwa mauji na ufurushwaji wa raia kaskazini magharibi mwa Syria licha ya kutangazwa kwa usitijashi mapigano takriban wiki moja iliyopita.

Audio Credit
UN News/Anold Kayanda
Audio Duration
6'12"
Photo Credit
UNICEF/ Aaref Watad