Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WFP yasema watu milioni 45 wanakabiliwa na janga la njaa kusini mwa Afrika

WFP yasema watu milioni 45 wanakabiliwa na janga la njaa kusini mwa Afrika

Pakua

Watu milioni 45 wengi wakiwa wanawake na watoto katika mataifa 16 ya nchi zinazoendelea Kusini mwa Afrika wanakabiliwa na hali mbaya ya kutokuwa na uhakika wa chakula kufuatia kujirudia kwa hali ya ukame, kusambaa kwa mafuriko na kuyumba kwa uchumi.

Audio Credit
UN News/Anold Kayanda
Audio Duration
1'50"
Photo Credit
© Unicef Angola/Carlos Louzada