Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

16 JANUARI 2020

16 JANUARI 2020

Pakua

Katika Jarifada la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Grace Kaneiya anakuletea

-Watu milioni 45 katika nchi 16 za Kusini mwa Afrika maisha yao yako hatarini kutokana na njaa, na hatua za haraka za msaada zinahitajika limesema shirika la Umoja wa Matafa la mpango wa chakula duniani WFP

-Kimbunga Idai kilifungua macho ya madhila yanayowasibu watu wenye ulemavu nchini Zimbawe kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la elimu , sayansi na elimu, UNESCO

-Kwenye makazi ya wakimbizi ya Bidibidi nchini Uganda wakimbizi 34 kutoka Sudan Kusini wamepewa mafunzo na shorika la mpango wa chakula duniani WFP ya kuhadithia hadidhi za wakimbizi kwa njia ya kidijitali

-Makala hii leo tuko Uganda kumulika sekta ya ufugaji katika kutimiza malengo ya maendeleo endelevu SDGs

-Na mashinani leo tuko Chad kusikia ujumbe kutoka kwa msichana Ki muathirika wa mabadiliko ya tabianchi nchini humo.

Audio Credit
UN News/Grace Kaneiya
Audio Duration
11'44"