Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNFPA yaripoti hitaji la hatua za haraka kuchukuliwe kuhakikisha afya na usalama wa wanawake Darfur

UNFPA yaripoti hitaji la hatua za haraka kuchukuliwe kuhakikisha afya na usalama wa wanawake Darfur

Pakua

Hali ya machafuko inayoendelea kwenye jimbo la Darfur Magharibi nchini Sudan imewaacha maelfu ya wanawake bila huduma za kutosha za afya ya uzazi na ulinzi na hivyo kutishia Maisha yao, afya na ulinzi wao imeonya ripoti iliyotolewa leo na shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu duniani UNFPA

Audio Credit
UN News/Anold Kayanda
Audio Duration
3'
Photo Credit
UNAMID/Albert González Farran