Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WFP yasema mabadiliko ya tabianchi yanaleta changamoto kubwa kwa wanawake wavuvi Ecuador:WFP

WFP yasema mabadiliko ya tabianchi yanaleta changamoto kubwa kwa wanawake wavuvi Ecuador:WFP

Pakua

Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP limesema mabadiliko ya tabianchi ni changamoto kubwa nchini Ecuador hasa kwa wanawake wanaotegemea na kufanya kazi ya uvuvi. 

Audio Credit
UN News/John Kibego
Audio Duration
5'39"
Photo Credit
© FAO-GEF Ecuador