10 JANUARI 2020
Pakua
Flora Nducha wa UN News Kiswahili anatupa habari zifuatazo:
-Ripoti ya Umoja wa Mataifa yaonya yaliyojiri baina ya Walendu na Wahema DRC huenda ukawa uhalifu dhidi ya ubinadamu
-Kwa mujibu wa UNCTAD uwekezaji kutoka pato la taifa ni hatua ya kwanza katika kufanikisha SDGs Afrika
-Mahitaji ya upinzani Lirangu Sudan Kusini yamenza kutimizwa kwa mujibu wa UNMISS
-Kamati ya kimataifa ya Olimpiki IOC hii leo imelitunukia tuzo ya juu ya kikombe cha Olimpiki shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia wakimbizi UNHCR
-Na sheria mpya iliyopitishwana bunge nchini El Salvador itakuwa mkombozi wa maelfu ya wakimbizi kutoka Amerika ya Kati.
Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Sauti
10'37"