09 JANUARI 2020

09 JANUARI 2020

Pakua

Katika Jarida letu la Habari hii leo Arnold Kayanda anakuletea 

-UNHCR yatoa changamoto kwa Muungano wa Ulaya kuufanya mwaka 2020 kuwa wa ulinzi kwa wakimbizi na wahamiaji

-Kuanza tena kwa doria inayojumuisha mpango wa Umoja wa Mataifa nchini Mali MINUSCA ni neema na amani kwa raia 

-Nchini Burkina Fasso mradi wa pamoja wa shirika la chakula na kilimo FAO, Muungano wa afrika Au na serikali ya nchi hiyo kupambana na hali ya jangwa umeleta tija kwa wananchi

-Makala yetu hii leo inatupeleka Uganfa kumulika ugonjwa wa ukimwi , wakimbizi na sekta ya mafuta

-Na Mashinani tuko Bolivia kupata ujumbe kuhusu mchango wa wauguzi katika afya ya wanawake na jamii.

Audio Credit
UN News/Arnold Kayanda
Audio Duration
11'45"