Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ufadhili kwa ajili ya kukabiliana na surua DRC yahitajika: DRC

Ufadhili kwa ajili ya kukabiliana na surua DRC yahitajika: DRC

Pakua

Shirika la afya ulimwenguni, WHO limetoa ombi la ufadhili zaidi ili kukabiliana na janga kubwa la surua linaloshuhudiwa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC.

Audio Credit
UN News/Jason Nyakundi
Audio Duration
2'28"
Photo Credit
© UNICEF/Marixie Mercado