Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

06 Januari 2020

06 Januari 2020

Pakua

WFP yakaribisha msaada wa dola milioni 3.39 kuwanusuru walioathirika na ukame Zambia. Uwekezaji wa teknolojia ya kidijitali ni muhimu katika kufanikisha SDGs inasema UNCTAD.  Je umeshawahi kuonja majani ya moringa yaliyopikwa kwa nazi? Basi kutana na mpishi kutoka Sri Lanka.

Audio Credit
Anold Kayanda
Audio Duration
11'32"